Monday, 22 July 2013

BARAKA TOLU MTANZANIA MREFU KULIKO WATANZANIA WOTE WOTE


.Huyu ni Baraka Tolu Kijana ambaye ndiye Mtanzania Mrefu kuliko Watanzania wote akiwa na urefu wa cm 223.5. Tolu anacheza mpira wa kikapu na ana ndoto za kuwa mchezaji mahiri wa kikapu kama Hasheem Thabit





0 comments:

Post a Comment