mwili wa marehemu ukiwa unaning'inia baada kujinyonga
Mke wa marehemu
Mwanaume
mmoja ambaye jina lake, halikuweza kutambulika mara moja, mkazi wa
Kigogo-Mbuyuni jijini Dar-es-Salaam asubuhi ya kuamkia mei 29
alijinyonga kwa madai ya ugumu wa maisha uliosababishwa na kukosa
ajira.kwa msaada wa GPL
0 comments:
Post a Comment