Sayansi
maana yake ni maarifa . Tunapo zungumzia dhana ya sayansi ya kiafrika ,
tunakuwa tunamaanisha matumizi ya maarifa ya kiafrika katika
kukabiliana na mazingira ya mwanadamu pamoja na changamoto mbalimbali
zinazo mkabili .
Tafiti
mbalimbali za ki akiolojia na ki-anthropolojia zinaonyesha kuwa sayansi
ya kiafrika imekuwapo kwa takribani miaka bilioni mbili sasa, hii ikiwa
na maana kuwa sayansi ama ustaarabu wa kiafrika ndio ustaarabu mkongwe
kupita ustaarabu mwingine wowote ule katika sayari ya dunia.
Hata
ustaarabu wa jamii mbalimbali duniani kama vile waajemi, wayunani
(Ugiriki ya kale ), wamisri, wasumeri ( Mesopotamia/babiloni ) ya kale
nakadhalika, unatokana na ustaarabu ambao msingi wake ni sayansi ya
kiafrika.
•
Sayansi ya kiafrika imethibitika kumsaidia mwanadamu katika kukabiliana
na mazingira yake kwa zaidi ya asilimia tisini na tisa (99%).
•
Kwa bahati mbaya sana, sayansi ya kiafrika imepewa jina baya kwa kuitwa
uchawi na kupigwa vita mbaya tangu mamia ya miaka iliyopita, lengo kuu
likiwa ni kumuondolea mwanadamu uwezo wa kiungu ulio wekwa ndani yake wa
kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazo mkabili katika maisha yake
ya kila siku.
•
Hata hivyo watu hawa walio mstari wa mbele katika kuipiga vita sayansi
ya kiafrika, bado wanaendelea kuitumia sayansi ya kiafrika katika maisha
yao ya kila siku japo kwa usiri mkubwa sana, ilihali wakati huo huo
wakiendelea kuipiga vita sayansi hii. Watu hawa wanataka maarifa haya
yawe ni kwa watu wachache.
• “
The Choosen Few “ huku mamilioni ya walio baki wakiendelea kuishi katika
giza bila kujua kitu chochote kile kinacho endelea kwenye maisha yao.
Hali hii imewafanya waendelee kuitawala dunia kwa muda mrefu sana kwa
kutumia nyenzo mbalimbali za ku-control fikra za wanadamu.
Hofu
kuu ya watu hawa ni kwamba, endapo kila mwanadamu ataifahamu vyema
misingi ya sayansi ya kiafrika, itakuwa vigumu sana kwa wao kumtawala
kwa sababu kila mtu atakuwa na uwezo wa kuyatawala mazingira yake na
kukabiliana na changamoto za aina yoyote ile zinazo yakabili maisha ya
kila siku ya mwanadamu…
•
Sayansi ya kiafrika humjengea mwanadamu uwezo wa kuwa na mamlaka juu ya
vitu vyote vilivyopo hapa duniani, vinavyo onekana na visivyo onekana.
Humpa uwezo wa kuvitiisha vitu vyote vilivyo na uhai na visivyo na
uhai.. Kwa ufupi inamfanya kuwa na umoja na Mungu.
• Miongoni mwa mambo ya kawaida kabisa anayo fundishwa mwanadamu katika sayansi ya kiafrika ni pamoja na :
•
Somo la AKILI-UMEME-SAUTI ama MIND-ELECTRICITY-SOUND . Elimu hii humpa
mwanadamu uwezo wa kuwa- control wanadamu wenzake kifikra, uwezo wa
kuwatawala majini na viumbe wasio onekana na macho ya nyama, uwezo wa
kuumba vitu, mambo na hali za aina mbalimbali kwa kutumia maneno, uwezo
wa kupeleka heri au shari kwa wanadamu, wanyama, mimea na roho, uwezo wa
kuvitiisha viumbe vyote vya nchi kavu,uwezo wa kutumia nguvu ya akili
katika kufanya mambo mbalimbali nakadhalika.
•
Somo la UMEME & HEWA au ELECTRICITY & AIR. Elimu hii humpa
mwanadamu uwezo wa kupaa angani, uwezo wa kuitiisha anga na viumbe vyote
vya angani, uwezo wa kuwasiliana na kuvi control viumbe vinavyo ishi
kwenye upepo, uwezo wa kupeleka ujumbe kutoka sehemu moja ya dunia
kwenda sehemu nyingine yoyote ile, uwezo wa kusafiri angani nakadhalika.
•
Somo la NECROMANCIA ama NEGROMANCIA ambalo humpa mwanadamu uwezo wa
kuwasiliana na kuzungumza na roho za watu walio kwisha kufa.
• Uwezo wa kuwasiliana na viumbe vya mtoni, ziwani na baharini
• Mamlaka ya kuvitiisha viumbe vyote vya duniani, vya nchi
kavu, baharini, na angani, vinavyo onekana na visivyo onekana.
• Uwezo wa kuona vitu visivyo onekana na wanadamu
• Uwezo wa kusikia sauti zisizo sikiwa na wanadamu.
• Uwezo wa kufanya mambo katika namna ya kiungu.
o Hayo ni moja kati ya maaarifa machache yanayo patikana katika sayansi ya kiafrika.
•
Kwa ufupi, sayansi ya kiafrika inampa mwanadamu mamlaka kamili ya kuwa
kitu kimoja na Mungu. Mfalme Suleiman ni miongoni mwa wanadamu walio
pata bahati ya kupewa maarifa haya, habari zake nadhani wengi wetu tuna
zifahamu.
•
Endapo wanadamu watazingatia misingi ya sayansi ya kiafrika, basi
wataweza kuyatawaka mazingira yao pamoja na changamoto mbalimbali zinazo
wakabili kwa kiwango kikubwa sana.
• MUNGU NI NANI KWA MTAZAMO WETU?
•
Kwetu sisi MWENYEZI MUNGU ni NGUVU KUU YA UHAI ( THE MOST GREATEST FORCE
OF LIFE ). Nguvu Ya Uhai ni nini ? Nguvu ya uhai ni roho ama nishati
inayo vifanya viumbe viishi na/ama viwepo au ni roho ama nishati inayo
weka uhai kwenye viumbe vyote vinavyo onekana na visivyo onekana. Hivyo
basi kwetu sisi MWENYEZI MUNGU ndio NGUVU KUU YA UHAI, kwa maana yeye
ndio chanzo cha uhai wa kila kiumbe cha hapa duniani, kinacho onekana na
kisicho onekana.
• Wakati mwingine huwa tunamtaja Mungu kama MOVENS IMMOBILE yaani UNMOVED MOVER.
• UHUSIANO KATI YA MUNGU NA MWANADAMU.
• Sisi tuna amini kuwa MUNGU NA MWANADAMU ni kitu kimoja.
Mwanadamu
anatoka kwa MWENYEZI MUNGU. Kama nilivyo eleza hapo awali, Mwenyezi
Mungu ndio NGUVU KUU YA UHAI, ndio CHANZO KIKUU CHA UHAI, hivyo basi
kila kiumbe chenye uhai kinatoka kwenye chanzo cha uhai, nguvu inayo
mfanya mwanadamu aishi, inatoka kwa Mungu, nguvu hiyo ni Mungu mwenyewe,
kwa maana nyingine mwanadamu ni muungu mdogo, Mungu anajidhihirisha
kupitia huyu mwanadamu. Kwa lugha nyingine ni kwamba, wanadamu ni
vidhihirisho vya pembeni vya CHANZO KIKUU CHA UHAI.
Vidhihirisho
hivi, vinapotambua nguvu iliyopo ndani yake na kuanza kuitumia vyema,
NGUVU KUU YA UHAI ambayo ndio chanzo kikuu cha uhai, hujidhihirisha
pamoja navyo, inapofikia hatua hii, vidhihirisho hivyo huwa kitu kimoja
na kidhihirisho kikuu na hufanya mambo yake katika mfano wa CHANZO KIKUU
CHA UHAI.
YESU
alilitambua hili ndio maana ali fanikiwa ku atain eternity akiwa
duniani, mara nyingi alikuwa akisema “ MIMI NA BABA TU KITU KIMOJA “.
Hapa alimaanisha kuwa yeye na Mungu ni kitu kimoja, sio katika form (
muundo) bali katika consciousness. Wayahudi hawakulitambua hili ndio
maana walidhani anakufuru.
0 comments:
Post a Comment