Hali kutoka mkoani si nzuri...mabomu ya
machozi yanapigwa kuwatawanya wananchi waliojitokeza kuiaga miili
ya wananchi waliofariki katika mlipuko wa bomu...
Hivi sasa polisi wanapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa CHADEMA
waliofurika katika uwanja wa Soweto Mjini Arusha ulipotokea mlipuko wa
bomu Jumamosi kuomboleza ambapo polisi inasema mkusanyiko huo si halali
Taarifa toka mkoani humo zinadai kuwa gari
la mh. Lissu liteketezwa vibaya kwa bomu.
0 comments:
Post a Comment