Mgambo
wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata akinadada
wanaofanya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama Machangudoa
katika eneo la Sinza.
Picha hizi ( juu) zinaonesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
Picha hizi ( juu) zinaonesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
0 comments:
Post a Comment