YMCMB
haijamsaidia lolote Bow Wow mpaka sasa hivi na mtandao w
a TMZ umegundua kuwa rapper huyo amelost.
Mtandao huo umesema kuwa msanii huyo hulipa dola 4,000 tu kwaajili ya malezi ya mtoto wake na sasa tayari ametangazwa kuwa mtangazaji wa kipindi maarufu ch BET cha 106 & Park.
TMZ umeenda mbali zaidi na kugundua kuwa Bow Wow ana deni ambalo amekuwa akilikwepa kwa miaka mitatu.
Mwaka 2008 B.W. alikodi gari aina ya 2005 Ferrari F430 lakini alishindwa kulipia gharama za kukodi ambapo kampuni ya kukodisha ilimshtaki mwaka 2009 kwa $216,084.
Mr. Wow hajawahi kulipa na inadaiwa kuwa alimwambia jaji kuwa alikuwa na dola 1,500 tu kwenye akaunti yake na pia hukodi jeep kwaajili ya mizunguko yake
0 comments:
Post a Comment