Sunday, 28 July 2013

JEURI YA HELA CHRIS BROWN KALIPIGA RANGI GARI LAKE LIFANANE NA KIATU CHAKE


  GARI

Gari jipya la kifahari la Chris Brown aina ya Lamborghini Aventador baada ya kupigwa rangi lifanane na raba zake.
RABA
Raba alizonunua hivi karibuni aina ya Nike Air Foamposites.
GARI AWALI
Gari hilo la kifahari lilivyokuwa wakati akilinunua.

0 comments:

Post a Comment