Sunday, 28 July 2013

JEULI YA HELA KANYE WEST NA KIM K WANUNUA CHOO CHA DHAHABU




Kwenye nyumba ya Kanye West Na Kim Kardashian yenye thamani ya dola Milioni 11 za Kimarekani kuna vitu vyenye thamani kubwa kama vitanda, jiko na makoche, ila kilicho make headline zaidi ni vyoo vyao vyenye thamani ya dola Milioni 1 za KiMarekani. Kwa mujibu wa HipHopWired.com, West na Kardashian wamenunua vyoo vinne vya Gold vyenye thamani ya dola milioni moja.



 
 

0 comments:

Post a Comment