manchester
united imezidi kufanya vibaya katika tour yake barani Asia katika mechi
ya kujipima nguvu kabla ya msimu dhidi ya yokohama strarting xi kwa
kuchapwa wa 3-2
mabao
ya yokohama yalifungwa na Marquinhos katika dk 1 fabio dk 50 na fujita
88 huku mabao ya manchester united yakifungwa na lingard dk 19 na
tashiro{own goal}31
matokeo hayo yamezidi kumpa wakati mgumu kocha mpya wa man u david moyes
baada
ya kucheza mechi tatu na kushinda moja katika mechi hiyowaanzisha
washambuliaji watatu zaha,lingard na van persie lakini bado matokeo haya
kuwa mazuri
mbrazil Marquinhos akifunga bao la kwanza
kinda wa man u josse lingard akishangilia baada ya kusawazisha
van persie akijaribu kumtoka mchezaji wa yokohama
MANCHESTER UNITED:
De
Gea; Fabio, Jones, Evans (Smalling), Evra; Anderson, Cleverley, Zaha
(Giggs); Lingard (Ashley Young), Januzaj (Kagawa); Van Persie (Welbeck)
Goals: Lingard 19, Tashiro (OG) 31
YOKOHAMA STARTING XI
: Enomoto, Dutra, Aguiar, Tashiro, Kobayahsi, Nakamura, Hyodo, Tomisawa, Nakamachi, Marquinhos, Sato.
Goals: Marquinhos 1, Fabio 50, Fujita 88
0 comments:
Post a Comment