Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na balozi pamoja
na maofisa wa ubalozi muda mfupi kabla ya kuondoka kurejea nyumbani
baada ya kuhudhuria mkutano
wa siku moja wa Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ Troika on Politics, Defence and
Security Cooperation)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa
Jumuiya za Watanzania waishio Afrika ya Kusini jana Julai 21, 2013
jijini Pretoria, Afrika ya Kusini, muda mfupi kabla ya kurejea nyumbani
baada ya kuhudhuria mkutano
wa siku moja wa Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ Troika on Politics, Defence and
Security Cooperation). Kutoka kulia ni Mwenyeiti wa Chama cha Wataalam
Watanzania waishio Afrika Kusini, Dkt Hamza Mokiwa, Mwenyekiti wa
Tanzania Women in Gauteng (TWIGA), Mama Scholastica Kimario, Rais
Kikwete, Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini Mhe Radhia Msuya,
Kaimu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Afrika ya Kusini Bw.
Deusdedit Rugaiganisa na Bw. David Mataluma, mratibu wa Vijana katika
Jumuiya ya Watanzania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka jana Julai 21, 2013 jijini Pretoria, Afrika ya Kusini baada ya kuhudhuria mkutano
wa siku moja wa Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ Troika on Politics, Defence and
Security Cooperation)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika
Kusini Mhe. Radhia Msuya jana Julai 21, 2013 jijini Pretoria, Afrika ya
Kusini, muda mfupi kabla ya kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria mkutano
wa siku moja wa Kamati ya Troika ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ Troika on Politics, Defence and
Security Cooperation).Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment