WANAWAKE WAMECHANGIA TATIZO LA UKOSEFU WA MBEGU ZA KIUME KWA ASILIMIA 100 ........
HII NI KUTOKANA NA TABIA YAO YA KUANIKA VIUNGO NYETI HADHARANI KAMA MATITI, MAKALIO YAO NA MAPAJA..........
ZAMANI
ILIKUWA KWAMBA UKILIONA PAJA LA MWANAMKE, NI LAZIMA
USISIMKE........WALIOZALIWA MIAKA YA 80 NA KURUDI NYUMA
WANAJUA.......
LEO
HII TUNAKAA NA WADADA WAKIWA NUSU UCHI, MIPAJA YAO IKIWA NJE NJE
KIASI KWAMBA TUMEFIKIA HATUA TUNAONA NI JAMBO LA KAWAIDA
SANA........
NI UKWELI USIOPINGIKA KUWA WANAWAKE
WAMEWAHARIBU SANA WANAUME KIHISIA.....PAMOJA NA JITIHADA ZOTE
ZAKUWASEMA NDO KWANZA WANAONGEZA VITUKO
HAPA NI KUMKUFURU MUNGU.......ACHENI MAMBO YA KUIGA......NIKUJIDHALILISHA.
0 comments:
Post a Comment