![]() |
| HAHAHAHAHA !! Kweli hii noma sana hata kucheka sasa haifai zaidi ya Kushangaa. |
![]() |
| Yap ! Kama vile wewe unavypenda Starehe zingne pia Bibi Huyu anapenda sana Weed/Ganja. |
![]() |
| Haya Ni Mambo Ambayo hukufahamu kuwa yapo lakini Kuna Mitaa ambayo imeshayazoea. |
Duuh !! kweli ya dunia mengi huyu kaiba wameamua kumchemsha kwenye mafuta.



0 comments:
Post a Comment