Kama
ndo machine aliyo nunua safari hii basi katisha aisee maana hii ni one
of the most expensive and luxury cars around na hela yake ni ndefu sana.
It's confirmed gari kanuna na soon mtaiona mitaa ya kati. Davis
yaelekea ni mpenzi sana wa magari mazuri na of course uwezo wa kuyanunua
anao cause he works so damn hard. Hongera sana Davis can't wait to see
this new toy in Bongo. Hii ndo inaitwa "Tumia Pesa Ikuzoeee" |
Hi ni gari nyingine aina ya Lamborghini anayo miliki mfanyabiashara Davis Mosha huko Bongo.
ZIARA YA DAVIS MOSHA VOA [VOICE OF AMERICA]
Kushoto
ni Raymond balozi wa vijana wa Tanzania kwenye jumuiya ya Afrika
mashariki akiwa na Edgar Mosha mwanafunzi Mtanzania aliyekuwa Uingereza
kufanya majaribio na Academy ya klabu ya Chelsea akiwa na baba yake
David Mosha “The C.E.O” aliyewahi kuwa makamu mkiti klabu ya Yanga ndani
ya studio za VOA Washington Dc ikiwa ni sehemu ya ziara yake nchini
Marekani.
Kulia ni mkuu wa idhaa ya Kiswahili akiwa na Davis Mosha , Edgar na Julieth Luangissa katika ofisi za VOADavis Mosha akifanya mahojiano na VOA
0 comments:
Post a Comment