Friday, 16 August 2013

HAKUNA URAFIKI WA MVULANA NA MSICHANA|::MWISHO WA SIKU WATAFANYA YAO TU.



Karibu watu wote wana marafiki,lakini urafiki wa mvulana na msichana mwisho huishia kwenye mapenzi,HENCE THERE IS NO FRIENDSHIP BETWEEN A GIRL AND A BOY,ALL WILL END UP TO LOVE.

ni wangapi ambao wameingia katika mahusiano baada ya kuzoeana sana kama marafiki?Ni wengi mno.
MVULANA NA MSICHANA NI KAMA SUMAKU MBILI UKIZIWEKA PAMOJA LAZIMA ZIVUTANE(N and S attracts each other.).
OGOPA SANA KAMA WEWE NI MVULANA demu wako ukiongea nae kila mda anakwambia huyu ni rafiki yangu tena wa kiume hasa kama upo mbali,HAO HATA WAKI-DO hautaelewa kwa kisingizio cha urafiki wao,
WEWE MSICHANA unampigia boyfrend wako kila siku huyu anakwambia huyu msichana ni rafiki yangu.
OGOPENI SANA MWISHO WATA-DO na PENGINE WANAKUWA WAPENZI WA KUDUMU NA WEWE UNAWEKWA PEMBENI.
wangapi walianza kama marafiki?Nyosha mkono.

0 comments:

Post a Comment