Angalizo
Haya wanafunzi mnaoenda kwenye mavyuo na kuanza kuiga staili mpya za maisha au kujifanya watu wa mjini sana mnadhalilisha wazazi wenu!!! wengine hela za kuungaunga halafu nyie mnaangukia huku? acheni kuiga mambo yasiyofaa mbona hatuna utamaduni wa kupiga picha za uchi ? jamani hizi simu zifungiwe tu hata kama utamu wa penzi ndio mpige picha za uchi? je wazazi wenu wakiziona watajisikiaje?
0 comments:
Post a Comment