Friday, 27 September 2013

HUYU NDO PAKA MKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI

Paka huyu anashikilia Record ya Kitabu cha Guinness cha mwaka 2014 maana ana kilo zipatazo 418, urefu wake ni sentimita 332 anapatikana Myrtle Beach Safari, kusini wa Carolina

0 comments:

Post a Comment