Miaka mitatu kama sio miwili iliyopita 50 Cent alikuwa akishikilia
nafasi za juu kabisa huku akinyemelea nyao za Jay Z na P Diddy.
Kwenye mtiririko ambao unatolewa na Forbes, 5o Cent ameshika nafasi
ya 19 kwenye list ya wasanii wa hip hop wanaoongoza kuwa na hela nyingi.
Nafasi ya kwanza inashikiliwa na P Diddy wakati Jay Z akishilia nafasi ya pili, Dr Dre nafasi ya tatu, Nick Minaj nafasi ya nne wakati boss wake Birdman anashika nafasi ya tano, sita ni Kanye West, Saba ni Lil Wayne.

50 Cent amepitwa na wasinii ambao wamechipukia kwenye game kama Kendrick Lamar na Macklemore.
na hii ndio list kamili
1. Diddy ($50M)
Forbes wanasema p dd ameingiza pesa hizi kupitia mauzo ya kinywaji cha Ciroc vodka, Record lebel ya Bad Boy Entertainment, Sean John clothing line na biashara zingine.
2. Jay Z ($43M)
Jigga ameingiza pesa hizi kupitia matamasha ya lebel ya Roc Nation na kampuni anazo endesha.
3. Dr. Dre ($40M)
Dr Dre ameingiza pesa hizi kupitia headphones za Beats by Dre na record lebel yake ya After Math.
4. Nicki Minaj ($29M)
Ametengeneza pesa hizi kuptita mauzo ya album, American Idol na ubalozi wa vinywaji kama Pepsi.
5. Birdman ($21M)
Ametengeneza pesa hizo kupitia Record lebel mbili Cash Money na Young Money, Usimamizi wa wasanii kama Drake, Nicki Minaj na Lil Wayne, Na Vodka.

6. Kanye West ($20M)
Amepata hizi pesa kupitia Album yake mpya Yeezus na zingine zinazo endelea kuuza, Usimamizi wa wasanii kama Big Sean Kupitia Lebel yake ya Good Music, Matamasha yake na clothing line ya Donda West.
7. Lil Wayne ($16M)
Kundi la Young Money, Mziki wake, Credit Card zake na nguo za Trukfit ndio vinavyo mpa pesa nyingi Lil Wayne.
8. Wiz Khalifa ($14M)
Anatengeneza pesa kupitia Taylor Gang na Muziki wake, Nyimbo zake zimempa show nyingi sana na mauzo ya album.
9. Ludacris ($12M)
Filamu ya FF6, Mauzo ya Album, headphones za Soul by Ludacris, na kazi za utangazaji kwenye radio stations
10. Pitbull ($11M)
Album mpya imempa pesa nyingi, Analipwa sana pale nyimbo zake zinapo tumika kama Soundtrack kwenye filamu tofauti na ubalozi wa Kodak
11. Drake ($10.5M)
Show anazofanya na Nguo za Ovo Ndio zinazompa pesa zaidi,

na wengine ni
12. Snoop Dogg ($10M)
12. Eminem ($10M)
14. Kendrick Lamar ($9M)
14. Pharrell ($9M)
14. Macklemore & Ryan Lewis ($9M)
17. Swizz Beatz ($8.5M)
18. Tech N9ne ($7.5M)
19. 50 Cent ($7M)
20. Lil Jon ($6M)
20. Rick Ross ($6M)
20. Mac Miller ($6M)
20. Jeezy ($6M)
20. Questlove ($6M)
0 comments:
Post a Comment