Usicheze na mapenzi, katika kutongoza watu huonyesha unyenyekevu
utafikiri kuomba kazi. Wengine hata hufikia ku kneel na hata kulia. Kuna
wengine hufikia hata kunywa sumu kisa kukataliwa. Mtongozaji ni zaidi
ya matonya. Cha ajabu sasa mtu huyohuyo ukimkuta ofisini kwake mfano
kama ni baunsa anasukuma watu hovyo, kama ni bosi ni mkali balaa kwa
surbordinates. Ule unyenyekevu, upole, hauonekani tena!
Kwa maana nyingine kila mtu anaweza kuwa mnyenyekevu, kuwa na adabu, kuwa na heshima wakati wote kama vile anatongoza.
0 comments:
Post a Comment