Taarifa
ambazo zimepatikana kwenye mitandao jamii zinaelezwa kuwa, jana usiku
katika kata ya Minepa jimbo la Ulanga Magharibi, vijana waliosadikiwa
kuwa wa “green guard” waliwavamia viongozi wa CHADEMA na kuwajeruhi...
Waliojeruhiwa ni Mwenyekiti wa Jimbo bw. Kibam Ally Mohammed (aliyevaa shati ya
michirizi), Katibu wa Jimbo bw. Lucas Lihambalimo (aliyevaa shati
jekundu) na Bw. Severin Matanila, Katibu Mwenezi tawi la Minepa
(aliyekaa, mwenye bandeji), ndiye mlinzi wa mgombea.
0 comments:
Post a Comment