Tuesday, 30 July 2013

ANGELINA JOLIE AONGOZA KWENYE ORODHA YA WAIGIZAJI WAKIKE WANAO LIPWA FEDHA NYINGI HOLLWOOD



Mwigizaji mkongwe, Angelina Jolie ametajwa kama ndiye mwigizaji wa kike anayelipwa zaidi duniani licha ya mwanadada huyu kutokutokea katika filamu hususan katika nafasi ya uhusika mkuu toka mwaka 2010 katika filamu maarufu ya 'The Tourist'.

Kutoka katika ripoti ya Forbes , Jolie katika kipindi cha mwezi June mwaka jana na June mwaka huu, ameingiza kiasi cha dola milioni 33, zaidi ya shilingi  bilioni 48 za kitanzania.

Za chini ya carpet zinaweka wazi kuwa, kutoka deal ya kushiriki katika filamu mpya 'Maleficent' pekee ambayo itatoka July mwaka kesho, jolie amelipwa dola milioni 15 ambayo ni zaidi ya shilingi bilioni 24 za ki-tanzania na pesa hizi zote ni pembeni ya deals nyingine alizonazo.

JFYI: Angelina Jolie pia analipwa dola milioni 10, zaidi ya shilingi bilioni 16 za kitanzania kwa kuwa balozi na uso wa bidhaa za brand maarufu ya Louis Vuitton.

nahii ndio orodha ya wanamfukuzia kwa kuingiza mkwanja mwingi
Jennifer Lawrence HOTjenifer lawrence($26 million)
 kristen stewart - twihard-central Photo kristen stewart($22million)
 
jenifer aniston($20million)
emma stone($16million)
charlize theron($15million)
 
sandra bullock($14million)
natalie portman($14million)
 
mila kunis($11million)
julia robert($11million)

0 comments:

Post a Comment