Friday, 28 June 2013

NDOA YA ANGELINE JOLIE NA BRAD PITT IPO KARIBU


brad-pitt-angelina-jolie-ring

mnamo mwaka 2006  wapenzi au ile couple maarufu pande za hollywood a.k.a kwa obama angeline jolie na brad pitt(brangeline) walitangaza kuwa hawatafunga ndoa mpaka kila mtu marekani atapata haki ya kufunga ndoa na mtu ampendae wakimaanisha hata mashoga.
ni tarehe 26 tu mwezi huu wa sita  mahakama kuu nchini marekani imeruhusu ndoa za jinsia moja,hiyo ina maana kuwa ndoa ya wapenzi hao ambao ni ma heavy weight katika tasnia nzima ya movies huko hollywood......yetu macho na masikioangelina-jolie-red-carpet-getty-ftrangelinajolieredcarpet7

0 comments:

Post a Comment