Kitu cheupe kinachoonekana kushoto ni Kilele cha Kibo wakati Mwamba
unaonekana kati-kulia ni sehemu ya kilele cha Mawenzi. Mabanda
yanayoonekana hapo ni mabanda ya wageni na wagumu wao kwenye kituo cha
Horombo, kwenye njia ya Marangu
Mawenzi peke yake
Kibo kwa mbali
0 comments:
Post a Comment