Matukio ya kikatili yameendelea kutikisa nchini Nigeria baada ya mwanamke mmoja kubakwa na kuzikwa akiwa mzima....
Taarifa toka katika mitandao ya
kinigeria zinadai kuwa mwanamke huyo alibakwa na kisha wabakaji
wakamfunga miguu na mikono.....
Baada
ya kumfunga,Mashetani hao walichimba shimbo porini walikotekeleza
unyama huo na kisha kumzika akiwa hai ili kuficha ushahidi.....
Jeshi la polisi nchini humo lilifanikiwa kuipata habari hiyo masaa 12 baada ya mwanamke huyo kuzikwa akiwa hai....
Zoezi la kumfukua dada huyo lilianza, lakini bahati mbaya dada huyo alikuwa amekwisha fariki ..................
0 comments:
Post a Comment