Mwisho Mwampamba amegeuka mbogo na kufurumua matusi ya nguoni kwa Clous Fm baada ya kituo hicho kuanza kumjadili na kumchambua...
Mwampamba, ambaye ni staa namba mbili wa shindano la big brother mwaka 2003 anadai kutoridhishwa na kitendo cha Cloud fm kuanza kumjadili...
Staa huyo amedai kwamba yeye anamaisha yake na hivyo haoni haya ya kuanza kufuatiliwa kwa kuwa hana mpango wa kuomba ajira kwa yeyote...
"Clouds fm siwaelewi mnatafuta nini . Nahisi mnatafuta kupakazwa mafuta ya ubuyu . Tafadhali kusaga naona heshima inapungua .
"Had mifugo yako hujawalea vizuri . Mimi sio msanii na pia sita ajiriwa na k**ma wowote yule . Stay away from me n my family.Ameandika staa huyo katika account yake ya facebook
0 comments:
Post a Comment