Wednesday, 24 July 2013

Faida na Madhara ya Mapunyeto....



=> Faida 
(Piga punyeto si zaidi ya mara 2 kwa wiki)

(1) It stimulates the brain
(2) It helps relieve and prevent acne breakouts
(3) Hormone levels are controlled
(4) Sexual desire is decreased. 
(5) Safe i.e. no transmission of STDs when done alone and in sterile environments.
(6) Inexpensive
(7) Available 24/7



=> Hasara 

(1) The nervous system is affected the most.
(2) Besides the heart, the digestive system, the urinary system as well as the other systems is adversely affected and consequently the whole body becomes weak.
(3) The eyes become sunken, the cheek bones protrude and there is a black rim around the eyes.
(4) Continuous headache and backache.
(5) Dizziness and loss of memory.
(6) Nervousness.
(7) Unable to perform any heavy physical or mental work.
(8) All the senses are impaired.
(9) Vision becomes dim, the tongue begins to stammer and ears tend to become deaf.
(10)  Insanity
(11) Impotency.


************************
Mimi nadhani athari kubwa ni zile za kisaikolojia hasa ile sense of guilty pengine kutokana na imani za kidini na kijamii. Hali hii ikiachiwa kuendelea huko mbele inaweza kusababisha msongo wa mawazo (depression), kukata tamaa na matatizo mengine ya kisaikolojia....

Dini nyingi huhubiri kwamba kupiga mapunyeto ni dhambi. 
Sote tunajua kuwa mshahara wa dhambi ni moto wa milele. 
Kwa wanaoamini hili na bado wanapiga mapunyeto basi wanaweza kuwa na sense of guility na hopelessness mara kwa mara. Hali hii si nzuri kisaikolojia...

Huyu jamaa ni mchekeshaji na alishawahi kutoa hiyo kauli hapo juu kuhusu mapunyeto. 
Ati, huku kwetu Bongo, jamii inayaonaje mapunyeto?

0 comments:

Post a Comment