nchini marekani Will Smith akiwa na familia yake..
kutoka kushoto ni Jaden Smith(14) ambaye ni muigizaji na muimbaji, Willow Smith(12)ni muigizaji Will Smith
mwenyewe(44)ni muimbaji,mchekeshaji na muigizaji Jada Pinkett Smith(41) ni mama wa familia hii ambaye ni muigizaji na mwana mitindo na Mtoto
mkubwa wa will Smith kwa Mama Mwingine Trey Smith(21)ni mchezaji wa basketball.
0 comments:
Post a Comment