Monday, 1 July 2013

HUU NI MUONEKANO MPYA WA DAYNA NYANGE NA JOKATE MWEGELO...



 Huu ni muenekano mpya wa mwimbaji wa wimbo wa Leo, akishirikiana na Mr Blue, Dayna Nyange, akiwa na mwanadada matata, Jokate Mwigelo. Hapo vipi?


 Safi saaaaana. Dayna pia ameimba nyimbo mbalimbali, ukiwamo ule wa Nivute Kwako.

0 comments:

Post a Comment