Monday, 22 July 2013

Mchungaji Mtikila kuishtaki rasimu mahakamani




mtikila
Mwanasiasa machachari nchini mchungaji Christopher Mtikila amesema ataishtaki rasimu ya katiba mpya katika mahakama ya kimataifa.
Mtikila amesema rasimu ya katika mpya imeshindwa kuitambua Tanganyika.
Katika rasimu hiyo imetambua serikali tatu ambazo ni Tanzania, Tanzania bara na zanzibar lakini anachotaka mtikila ni kuitambua Tanzania bara kwa jina lake la asili la Tanganyika

0 comments:

Post a Comment