Waziri
wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe akiongea na viongozi mbalimbali
pamoja na waandishi wa habari leo jijijni Dar es salaam alipokuwa
akizindua Kitabu kiitwacho Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania
kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Tanzania Luteni Kanali Lidwino Mgumba. Waziri
wa Sheria na Katiba Mh. Mthiasi Chikawe (kulia) akifuatilia ufanafanuzi
wa kitabu cha “Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania”
kilichoandikwa na Luteni Kanali Lidwino Mgumba. Pembeni mwake ni Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt.Emmanuel Nchimbi. Miongoni
mwa viongozi wa Serikali walioshirki uzinduzi wa kitabu cha “Mabadiliko
ya Katiba na Hatima ya Tanzania” kilichoandikwa na Naibu Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Luteni Kanali Lidwino
Mgumba leo jijini Dar es salaam. Waziri
wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe akionesha kitabu alichokizuindua
leo jijijni Dar es salaam cha Mabadiliko ya Katiba na Hatima ya Tanzania
kilichoandikwa na Naibu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji Tanzania Luteni Kanali Lidwino Mgumba.
10 hours ago
0 comments:
Post a Comment