.
Buddah ni paka ambaye aliokowa na huyu baba pichani huko Tenesse Markani
baada ya kutupwa na familia yake. Mara baada ya kumuokota akapelekwa
kwa dakatri wa wanayama ili anangaliwe kama yuko ok au la na ndipo
alipoamuliwa aingine kwenye diet ili apungue uzito unao tokana na
mapenzi yake ya kula chakula cha binaadamu na si chakula cha paka
kinacho uzwa madukani.
0 comments:
Post a Comment