Shule ni kitu muhimu sana kwa mtu yeyote hasa yule ambaye ni kioo
cha jamii au kiongozi. Sasa actress maarufu Swahili movies Elizabeth Michael(Lulu) amechukua hatua zake kwenye
hii ishu ya elimu pamoja na kusema "Getting more knowledge…..!!!we
have to learn….especially sisi celebrities wa bongo….wengi wetu
tunaongeaga pumba sana in public…yaani hatujui nini tuongee wapi!!!!just an
advice lakni…..!!!!Am good to go......"
Inaonekana Lulu anasoma hiki kitabu ili kimsaidie pale anapoongea mbele ya jamii hasa kwenye interview
Lulu
0 comments:
Post a Comment