Rubani huyu aliyeongoza ndege kwenye ziwa manyara alitumia akili ya ziada na busara za hali ya juu. Ingekuwa imetokea marekani au ulaya angetambulika kama hero. Tunatakiwa kumtambua na kuthamini juhudi zake na tumweke kwenye kumbukumbu ya watu shujaa.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment