Friday, 23 August 2013

UCHUNGUZI MPYA WADAI PRINCESS DIANA ALIUAWA NA ASKARI WA UINGEREZA...

KUSHOTO: Princess Diana. KULIA: Gari walilopanda mara baada ya ajali hiyo. PICHA NDOGO: Dodi al Fayed.
Polisi nchini Uingereza imesema juzi usiku ilikuwa ikikadiria kusadikika kwa taarifa mpya kuhusiana na vifo vya Princess Diana na Dodi Fayed ikiwamo madai kwamba waliuawa na askari wa jeshi la Uingereza.

0 comments:

Post a Comment