Thursday, 5 September 2013

LISA JENSEN AJIFUNGUA ‘BABY GIRL’ MCHEKI HAPA


Mwanamitindo na mwigizaji wa filamu za Kibongo Lisa Jensen amejifungua mtoto wa kike.
Lisa amepost picha ya mtoto wake kwenye mtandao wa instagram leo huku watu wengi wakimpongeza kwa kujifungua mtoto mzuri.

‘Mashallah congrats much much...n God bless katoto… My my my! What a cute lil lady. Congratulations dearie to you and hubby….Congratulations to you guys!! What a precious baby.’

0 comments:

Post a Comment