Saturday, 20 July 2013

Polisi waliopiga picha na mrembo akiwa "UCHI" kuchunguzwa.


Cheyenne Lutek, 19, katikati. Akiwa ameambatna na Askari polisi wawili ambao wanachunguzwa kwa kitendo chao cha kupiga picha za uchi na mrembo huyo wakati wapo kazini na wamevaa sare za Jeshi la Polisi.

Cheyenne Lutek, ni mwanaharakati anayepigania haki za wanawake kutembea uchi.

Customers at trendy East Village restaurant Verso were treated to dinner and a show July 7 when customer Cheyenne Lutek sat down at a table and bared her breasts.
Cheyenne Lutek, who says she's battling for women's right to go topless, takes the fight to 6 Ave. and 35 St. in this photo.

0 comments:

Post a Comment