Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme
yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani
ya wiki kama 3 zilizopita amekuwa akinilazimisha nile mzigo kila siku
hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na mabao nitoayo kila siku na jana
nimeona nivunje ukimya baada ya kuniamsha usiku wa wa ma8 nile mzigo
nikamueleza mke wangu utaniua naomba tupumzike hata siku 3 mbele target
yangu ni kuwa baada ya siku 3 anatarajia kuingia kwenye siku zake so
ntapata mapumziko ya kutosha,cha ajabu mke wangu kaanza kulia na
kulalamika kuwa haamini kauli yangu ya kukataa kula mzigo, ilinibidi
nimmbeleze kisha nikampoza na kamoja hapa nilipo nipo njian natoka job
ameshanitumia sms ananiambia eti niwahi Anahamu ya dudu langu nimekaa
kimya sikumjibu kanipigia simu anasisitiza alichokiandika kwenye sms
yake tena kwa sauti ya majonzi.Nampenda mke wangu ila ananichanganya kwa
vile tabia hii hakuwa nayo mi ndio nilikuwa initiator wa mchezo
wetu.Hebu waungwana naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi
amekuwa hivi? Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka mkoani Dodoma
ambambo nilikaa kule kwa miezi 3 bila kushiriki nae.
3 hours ago
0 comments:
Post a Comment