Kiu ya Umaarufu inawafanya baadhi ya Binadamu kupoteza Utu na Maadili
kwa kukosa kufikiria mambo kiufasaha. Hivi karibuni kupitia Akaunti ya
Twitter ya Mwanamke mmoja, ameweka picha aliyopigwa Ikionesha "MAKALIO"
yake na ya mwanae mdogo huku akihoji kwa wanaomfuata ya nani yanavutia?
Kweli kuna mama hapa?
0 comments:
Post a Comment