Friday, 19 July 2013

YALIYOJIRI KWENYE BARTHDAY YA RAIS WA ZAMANI NELSON MANDELA


1
July 18 2013 ilikua siku nyingine ya Rais wa zamani wa Nelson Mandela ambapo alitimiza umri wa miaka 95 na mitaa mbalimbali ya nchi hiyo kusherehekea birthday yake japo bado amelazwa hospitali kwa sasa.

CONTINUE READING 

Huu ni mtiririko mdogo tu wa jinsi South Africa na watu wake walivyosherehekea kuzaliwa kwake.
.
J .
.
Hapa ni nje ya nyumba ya Mzee Nelson Mandela Houghton watu wakisherehekea kuzaliwa kwake
.
Kulikua na Kitabu ambacho watu mbalimbali walikua wakiandika msg zao kuhusu hii birthday.
.
Hapa ni ukutani mwa fensi ya nyumba ya mzee Mandela Johannesburg
.
.
.
.
.
Kundi la watu likimuimbia Mzee Mandela Happy birthday nje ya Hospitali Pretoria.
.
Hii pia ilikua nje ya hospitali alikolazwa Mzee Mandela.
.
Hili bango lipo nje ya nyumba ya zamani ya Mzee Mandela kwenye eneo la Soweto ambapo kila mtu aliejisikia alikua anaruhusiwa kuandika chochote.
.
Wanafunzi kutoka Nonto Primary School Soweto
.
.
.
.
.
Hapa Nelson Mandela ndio alipanda mti miaka kadhaa iliyopita.
.
Hawa ni Wanafunzi kwenye shule moja wapo za Soweto wakisikiliza stori masomo yaliyowahi kufundishwa na Nelson Mandela.
16
Add caption

17

0 comments:

Post a Comment