Monday, 12 August 2013

AJIFUNGUA HUKU AKIWA AMESIMAMA TENA BILA YA MSAADA WA MTU

clip_image002Hii nayo ni maajabu, mwanamke huyo ambaye alikuwa anarekodiwa aliweza kujifungua mtoto huyo peke yake huku akiwa kasimama. Sijui kama linawezekana hili kwa mwanamke wa kawaida, ila inaonekana alipewa donge none kujidhalilisha kiasi hichi.

0 comments:

Post a Comment