![]() |
Mmoja wa majambazi waliouawa jana kwenye kituo cha mafuta GBP Mwanza jana majira ya saa 2 usiku. |
"Jambazi hili lilikuwa limeshika panga.Mwenzake aliyekuwa na SMG alipoanguka huyu akaelekea mbio kuichukua lakini akapambana na risasi ya polisi naye akagalagala chini."
![]() |
Jambazi jingine lililouliwa jana likitaka kupora sheli ya GBP Mwanza . |
0 comments:
Post a Comment