“Mimi sina stress na game, kwanza mimi
nina jina kubwa sana nina makampuni ya mbao Mambas Timber, huko mwanza,
Mambas Entertainment na hii Mambas Pub nasonga mbele na maisha. Kwahiyo
ningekuwa na stress ningekuwa kama hawa wasanii wenye stress ambao
wanakunywa pombe, bangi na mwishowe wanakula madawa, unatakiwa uongee na
Mungu akupe matumaini,” ameiambia Bongo5.
Amesema pia kuwa yeye ni professional kwenye uchoraji ramani za majengo na fundi.
“Nimejenga majumba mengi kwhaiyo nafanya mengi naweza kuwaajili baadhi ya wasanii ambao wamechoka na maisha.”
Source:Bongo5.
0 comments:
Post a Comment