2 hours ago
Monday, 12 August 2013
Hivi ndiyo Wema Sepetu alivyosherekea sikukuu ya Eid
Posted on 00:48 by Unknown
Sikukuu kila mtu huwa anapenda kuisherekea kitofauti zaidi. Hivi ndivyo muigizaji Wema Sepetu aliamua kuisherekea kwa upande wake, alitumia muda wake wa sikukuu ya Eid kukaa pamoja na wazazi wake wote wawili na kusherekea pamoja nyumbani kwao ikiwa ni pamoja kupiga nao story nyingi. Picha kama hii haijawahi kutoka ikimuonyesha Wema akiwa na wazazi wake wote wawili. Mara nyingi anakuwaga na mama yake na mara moja alionekana kuwa na baba yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment