1 hour ago
Monday, 12 August 2013
Madee atembelea kaburi la Mangwea
Posted on 00:52 by Unknown
Msanii wa bongoflava “Madee”, ametumia muda wake wa ziada kwenda kutembelea kaburi la msanii marehemu Albert Mangwea ambaye alipatwa na mauti akiwa nchini South Africa na kuzikwa Morogoro. Madee ambaye alikuwa Morogoro kufanya show, pia hakusahau kwenda kutembelea kaburi la Ngwea.Hizi ni baadhi ya picha jinsi alivyokwenda kulitembelea kaburi hilo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment