Wivu noma sana, Dada mmoja huko Mbezi amelitia Kiberiti Gari la mpenzi
wake aina ya Range Rover Jipyaaa Baada ya kukuta Condom iliyotumika
kwenye gari hilo,
Mashahidi wanasema wakati analiwasha moto alikuwa
akisema kuwa hilo gari ndio linakutia kiburi mpaka kutembea na wanawake
zako ndani ya gari, tuone sasa ukitaka katembee nao vichakani....
0 comments:
Post a Comment