Mrembo Prisca Clement
ambaye ni mwakilishi kutoka Sinza na Kanda ya Kinondoni usiku wa
kuamkia leo amefanikiwa kuwabagwa warembo wenzake 26 kati ya 30
wanaowania taji la Miss Tanzania mwaka huu na kufanikiwa kuwa mrembo wa 3
kuingia Nusu Fainali ya Mashindano hayo baada ya kutwaa taji hilo dogo.
Shindano hilo lilifanyika katika Hoteli ya Giraffe Ocean View ambako ndiko Kambi ya Warembo hao ilipo.
Prisca akipita jukwaani mara baada y.a kutajwa kuwa ndio mshindi
Prisca
Clement (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wenzake
aliyeshika nafasi ya pili Joyce Shayo (kushoto) na Lucy Tomeka
aliyeshika nafasi ya tatu.
0 comments:
Post a Comment