Thursday, 13 June 2013

BREAKING NEWS.!!!!!!!!!!!!!!

BREAKING NEWS: MSANII LANGA AFARIKI DUNIA Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii Langa amefariki dunia.. Habari zinadai kuwa , Msanii huyu alikumbwa na Malaria kali sana hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana. ENDELEA KUWA NASI....

0 comments:

Post a Comment