Taarifa za awali zinadai kwamba Mfanyabiashara Said Mohamed Saad ambaye ni Mmiliki wa Home Shopping Centre (Dar), amwagiwa tindikali saa mbili ya usiku huu maeneo ya Msasani City Mall ....
Taarifa hizo zinadai kwamba mtuhumiwa aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini bahati mbaya akateleza na kuanguka na jamaa akawahi pikipiki na kutoweka eneo la tukio
Chanzo: Jamii forum
0 comments:
Post a Comment