Tuesday, 16 July 2013

ANGALIA PICHA ZA BEYONCE NA KILA BATA NA MWANAE BLUE IVY KATIKA TOUR YAKE UKO ULAYA


 Ingawa Beyonce yuko katika tour yake kubwa ya huko Ulaya,angalau anapata muda wa kupumzika na familia akiwa katikati ya ratiba iliyojaa ubize mkubwa. Wiki iliyopita alionekana Miami resort akiwa na mtoto wake Blue Ivy wakienjoy jua wakiwa na mama yake Tina, Solange na mpwa wake Julez na Angie
.

0 comments:

Post a Comment