Mtazame Punda huyu ni tofauti na wale tuliowazoea Punda huyu
alizaliwa huko Hawaii mwaka 1998 ambae mistari yake ni ya rangi ya
Dhahabu na macho yake ni ya Blue kama unavyomuona katika Picha na ni
moja ya kivutio sana kwa watu kama ulikuwa ujue basi chukua hiyo kuwa
kuna Punda mwenye mistari ya Dhahabu na macho ya Blue.
|
0 comments:
Post a Comment