Wednesday, 17 July 2013

Bila Shilingi Milioni 160 Na Ushee... Huwezi Kufanya Kazi/Collabo Na Rapper Huyu


2Chains, kupitia interview ambayo amefanya na kituo cha BBC.. ameweka wazi kuwa, kwa wale rappers wote ama waimbaji ama wanamuziki ambao wana malengo ama ndoto za kufanya collabo naye, Inatakiwa kujipanga na kumfuata ukiwa na kitita cha Dola 100,000/- za kimarekani ambacho kwa pesa za kibongo ni sawa na shilingi 161,150,000/-, na bei hii ukishalipa utapata sapoti ya kutosha kutoka kwa rapa huyu mpaka kufanya video.
Rapper huyu amesema haya katika mahojiano yake na kituo cha radio cha BBC, ambapo kwa wale ambao kwao wanaona kuwa bei hii ni kubwa sana, Jibu la 2 Chaina kwao ni;
 
"Don’t look down upon me. You’re like ‘Man. What the f… who’s gonna pay that for a verse?’ Don’t worry about it, your favorite rapper paid it.”

0 comments:

Post a Comment